Ernst Boris Chain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ernst Boris Chain

Ernst Boris Chain (19 Juni 190612 Agosti 1979) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Kwa vile alikuwa Myahudi alihamia nchi wa Uingereza wakati wa Adolf Hitler kupokea utawala wa Ujerumani. Chain hasa alichunguza viua vijasumu. Mwaka wa 1945, pamoja na Alexander Fleming na Howard Walter Florey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1969 alipewa cheo cha "Sir".

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernst Boris Chain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.