Alexander Fleming

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Alexander Fleming (6 Agosti 188111 Machi 1955) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uskoti. Hasa anajulikana kwa kugundua penisilini. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa 1944. Mwaka wa 1945, pamoja na Ernst Boris Chain na Howard Walter Florey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexander Fleming kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.