1881
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| ►
◄◄ |
◄ |
1877 |
1878 |
1879 |
1880 |
1881
| 1882
| 1883
| 1884
| 1885
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1881 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 31 Januari - Irving Langmuir (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1932)
- 12 Februari - Hatcher Hughes, mwandishi kutoka Marekani
- 4 Machi - Thomas Sigismund Stribling, mwandishi kutoka Marekani
- 17 Machi - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 23 Machi - Roger Martin du Gard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1937)
- 23 Machi - Hermann Staudinger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1953)
- 25 Machi - Bela Bartok (mtungaji wa muziki Mhungaria)
- 27 Julai - Hans Fischer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1930)
- 6 Agosti - Alexander Fleming (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 22 Oktoba - Clinton Davisson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 25 Oktoba - Pablo Picasso, mchoraji kutoka Hispania
- 24 Desemba - Juan Ramon Jimenez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1956)
bila tarehe
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 9 Februari - Fyodor Dostoyevski, mwandishi Mrusi
- 28 Machi - Modest Mussorgsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 19 Septemba - James A. Garfield, Rais wa Marekani (1881)
- 10 Oktoba - Mtakatifu Daniele Comboni, mmisionari na askofu Mkatoliki nchini Sudan
- 26 Novemba - Johann Ludwig Krapf (mmisionari wa CMS, Afrika ya Mashariki)
