Hatcher Hughes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zawadi ya medali ya Gen pulitzer

Hatcher Hughes (12 Februari 188119 Oktoba 1945) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1924, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Hell-Bent Fer Heaven.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hatcher Hughes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.