12 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Februari ni siku ya arubaini na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 322 (323 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1768 - Kaisari Francis II wa Ujerumani
- 1809 - Abraham Lincoln, Rais wa Marekani (1861-1865)
- 1809 - Charles Darwin, mwanasayansi Mwingereza
- 1881 - Hatcher Hughes, mwandishi kutoka Marekani
- 1893 - Fred Albert Shannon, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1912 - Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy, mwanahistoria kutoka Zanzibar (Tanzania)
- 1918 - Julian Schwinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 1920 - Pran, mwigizaji wa filamu kutoka Uhindi
- 1923 - Alan Dugan, mshairi kutoka Marekani
- 1950 - George Malima Lubeleje, mwanasiasa wa Tanzania
- 1961 - Lucas Sang, mwanariadha wa Kenya
- 1962 - Ali LeRoi, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1980 - Innocent Cornel Sahani, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1980 - Christina Ricci, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 821 - Mtakatifu Benedikto wa Aniane, O.S.B., abati nchini Ufaransa
- 1804 - Immanuel Kant, mwanafalsafa kutoka Prussia
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa Abitina, Melesyo wa Antiokia, Benedikto wa Aniane, Antoni Kauleas, Ludan n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 19 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |