Julian Schwinger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Julian Schwinger

Julian Schwinger (12 Februari 191816 Julai 1994) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nguvu za umeme na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1965, pamoja na Richard Feynman na Shinichiro Tomonaga alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julian Schwinger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.