Riadha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mwanariadha)
Baadhi ya michezo ya Olimpiki.

Riadha ni neno lenye asili ya Kiarabu linalojumlisha aina mbalimbali za michezo za hadhara, kama vile kutembea, kukimbia, kuruka na kurusha kitu. Michezo hiyo yote haihitaji vifaa vingi, hivyo ni rahisi kabisa.

Kihistoria, michezo ya mpango inahesabiwa kuwa imeanza na Olimpiki huko Ugiriki mwaka 776 KK.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Riadha kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.