Riadha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Baadhi ya michezo ya Olimpiki.

Riadha ni neno linalojumlisha aina mbalimbali za michezo za hadhara, kama vile kukimbia, kuruka, kurusha kitu na kutembea. Michezo hiyo yote haihitaji vifaa vingi, hivyo ni rahisi kabisa.

Kihistoria, michezo ya mpango inahesabiwa kuwa imeanza na Olimpiki huko Ugiriki mwaka 776 KK.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]