Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Riadha

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Riadha ni neno lenye asili ya Kiarabu linalojumlisha aina mbalimbali za michezo za hadhara,

[hariri chanzo]

Samahani, umetoa maana ya riadha na ipo sahihi kabisa, lakini wasiwasi wangu upo katika maneno ambayo naona hayajakaa sehemu sahihi. Mfano umesema " linalojumlisha aina mbalimbali za michezo za hadhara. Nimefikiri usahihi ingekuwa " linalojumuisha aina mbalimbali ya michezo ya hadhara" Hatwabi Mfaume Mwalimu (majadiliano) 04:35, 2 Novemba 2024 (UTC)[jibu]