9 Februari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Februari ni siku ya arubaini ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 325 (326 katika miaka mirefu).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1621 - Uchaguzi wa Papa Gregori XV
- 1863 - Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu inaanzishwa
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1773 - William Henry Harrison, Rais wa Marekani (1841)
- 1874 - Amy Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 1910 - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1940 - John Maxwell Coetzee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2003
- 1943 - Squire Fridell, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1944 - Alice Walker, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1983
- 1945 - Yoshinori Ohsumi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2016
- 1956 - Chenjerai Hove, mwandishi kutoka Zimbabwe
- 1985 - Emmanuel Adebayor, mchezaji wa mpira kutoka Togo
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1881 - Fyodor Dostoyevski, mwandishi Mrusi
- 1994 - Howard Temin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1975
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Apolonia, bikira mfiadini, na ya mtakatifu Maroni, mkaapweke
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |