13 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Februari ni siku ya arubaini na nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 321 (322 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1960 - Mlipuko wa bomu ya nyuklia ya kwanza ya Ufaransa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1599 - Papa Alexander VII
- 1910 - William Shockley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956
- 1954 - Vijay Seshadri, mshairi kutoka Marekani
- 1955 - Castor Paul Msemwa, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1130 - Papa Honorius II
- 1818 - Mtakatifu Paulo Liu Hanzuo, padri mfiadini wa China
- 1883 - Richard Wagner, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Martiniano wa Kaisarea, Kastori wa Karden, Beninyo wa Todi, Stefano wa Lyon, Stefano wa Rieti, Gosbati, Gimer, Fulkrano, Gilbati wa Meaux, Paulo Liu Hanzuo, Paulo Le-Van-Loc n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 16 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
- On This Day in Canada Ilihifadhiwa 23 Juni 2015 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |