Stefano wa Rieti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stefano wa Rieti (alifariki karne ya 6) alikuwa abati karibu na mji huo wa Italia ya Kati.

Papa Gregori I alimsifu kwa uvumilivu wake mkubwa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.