Italia ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Italia ya Kati ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Lazio, Marche, Toscana na Umbria.

Kwa jumla ni km2 58,052 na wakazi 12,068,519[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Italia ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.