Toscana
Mandhari
Toscana (ing. Tuscany) ni mmoja kati ya mikoa 20 ya Italia.
Iko katikati ya rasi ya Italia, kaskazini kwa Roma.
Imepakana na mikoa ya Emilia-Romagna, Liguria, Umbria, Marche na Lazio, mbali ya bahari ya Kati.
Eneo lake ni la km² 20,990.
Jumla ya wakazi ilikuwa 3,516,000 mwaka 2004.
Toscana huitwa mkoa mzuri wa Italia kwa sababu ya hali ya hewa, uzuri wa mabonde na milima na urithi wake wa utamaduni na sanaa.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Sehemu kubwa ni eneo la vilima-vilima.
Kuna tambarare katika bonde la mto Arno.
Wilaya
[hariri | hariri chanzo]- Firenze ni mji mkuu (kwa Kiitalia "Capoluogo di regione")
- Arezzo
- Grosseto
- Livorno
- Lucca
- Massa-Carrara
- Pisa
- Pistoia
- Prato
- Siena
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official Site of Regions Tuscany (Italian site)
- (Kiitalia) Tuscany B & B Ilihifadhiwa 2 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- (Kiitalia) Tuscany Farm Holidays Ilihifadhiwa 26 Novemba 2018 kwenye Wayback Machine.
Mikoa ya kawaida | |
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
Mikoa yenye katiba ya pekee | |
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Toscana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |