Umbria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mkoa wa
Bendera ya Umbria.
Bendera ya Umbria.
Mahali pa Umbria katika Italia.

Umbria ni mkoa wa Italia. Uko katikati ya rasi ya Italia na hauna pwani katika bahari yoyote.

Mji mkuu wake ni Perugia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


 
Mikoa ya Italia
Mikoa ya kawaida
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto |
Mikoa yenye katiba ya pekee
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Umbria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.