Nenda kwa yaliyomo

Perugia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Perugia


Perugia
Majiranukta: 43°06′44″N 12°23′20″E / 43.11222°N 12.38889°E / 43.11222; 12.38889
Nchi Italia
Mkoa Umbria
Wilaya Perugia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 166,253
Tovuti:  www.comune.perugia.it

Perugia ni mji wa Italia katika mkoa la Umbria. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 170,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 493 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Perugia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: