1960
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| ►
◄◄ |
◄ |
1956 |
1957 |
1958 |
1959 |
1960
| 1961
| 1962
| 1963
| 1964
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1960 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Januari - Hali ya dharura inakwisha katika koloni la Kenya - vita ya Mau Mau inatangazwa imemalizika
- 1 Januari - Uhuru wa Kamerun
- 9 Januari - Ujenzi wa Lambo la Aswan unaanza nchini Misri
- 23 Januari - Jacques Piccard na Don Walsh, wakitumia nyambizi ya kisayansi ya USS Trieste, wanateremka hadi kina cha mita 10,750 chini ya UB katika Pasifiki
- 1 Februari - (Greensboro, N.C. (USA)) Wanafunzi wanne weusi wa Chuo cha Kilimo cha North Carolina wanapinga kutopewa huduma katika hoteli ya Woolworth's wakiketi chini na kukataa kuondoka. Hii ni mwanzo wa mateto mengine dhidi ya ubaguzi wa rangi katika majimbo ya kusini ya Marekani. Baada ya miezi sita wanafunzi hao wanapokea chakula katika hoteli ile.
- 13 Februari - Bomu la nyuklia: Mlipuko wa bomu la nyuklia la kwanza la Ufaransa.
- 29 Februari - Tetemeko la ardhi linaharibu mji wa Agadir nchini Moroko, watu 10,000 - 15,000 wanakufa.
- 12 Machi - Mauaji ya Sharpeville: polisi ya Afrika Kusini yaua Waafrika 69 wakiandamana bila silaha.
- 4 Aprili - Senegal inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 27 Aprili - Togo inapata uhuru Ufaransa
- 26 Juni - Madagaska inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 26 Juni - Somalia ya Kiingereza inapata uhuru kutoka Uingereza
- 30 Juni - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inapata uhuru kutoka Ubelgiji
- 1 Julai - Somalia ya Kiitalia inapata uhuru kutoka Italia
- 1 Agosti - Benin inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 3 Agosti - Niger - inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 5 Agosti - Burkina Faso (kwa jina la Volta ya Juu) - inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 7 Agosti - Côte d'Ivoire - inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 11 Agosti - Chad - inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 13 Agosti - Central African Republic - inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 15 Agosti - Jamhuri ya Kongo - inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 16 Agosti - Kupro - inapata uhuru kutoka Uingereza
- 17 Agosti - Gabon - inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 22 Septemba - Mali - inapata uhuru kutoka Ufaransa
- 1 Oktoba - Nigeria - inapata uhuru kutoka Uingereza
- 28 Novemba - Mauritania - inapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 1 Januari - Julius Nyaisangah, mtangazaji wa redio kutoka Tanzania
- 13 Januari - Eric Betzig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2014
- 21 Januari - Job Yustino Ndugai, mwanasiasa wa Tanzania
- 27 Januari - Samia Suluhu, makamu rais wa Tanzania (tangu 2015)
- 8 Machi - Jeffrey Eugenides, mwandishi kutoka Marekani
- 4 Aprili - Hugo Weaving, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 3 Mei - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani
- 20 Mei - Audrey Wurdemann, mshairi kutoka Marekani
- 24 Juni - Siedah Garrett, mwanamuziki kutoka Marekani
- 14 Julai - Angelique Kidjo, mwanamuziki kutoka Benin
- 1 Agosti - Chuck D, mwanamuziki kutoka Marekani
- 11 Septemba - Hiroshi Amano, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2013
- 12 Septemba - Musalia Mudavadi, mwanasiasa wa Kenya
- 13 Septemba - Greg Baldwin, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 23 Septemba - Michał Tomaszek, mfiadini kutoka Poland aliyeuawa nchini Peru
- 18 Oktoba - Craig Mello, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2006
- 30 Oktoba - Diego Maradona, mchezaji mpira kutoka Argentina
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 4 Januari - Albert Camus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1957
- 24 Aprili - Max von Laue, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1914
- 30 Mei - Boris Pasternak, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1958
- 16 Julai - John P. Marquand, mwandishi kutoka Marekani
- 31 Oktoba - Harold L. Davis, mwandishi kutoka Marekani
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: