Kastori wa Karden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu ya Mt. Kastori huko Karden.

Kastori wa Karden (kwa Kijerumani Kastor von Karden) alikuwa padri na mkaapweke wa karne ya 4.

Mwanafunzi wa Maksimino wa Trier mnamo mwaka 345 hivi[1] alipewa naye upadrisho.

Hapo alifanya maskani yake Karden kwenye mto Moselle pamoja na wamonaki kadhaa.

Alifariki huko akiwa mzee sana.[2]

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Februari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Kastor van Karden. Heiligen-3s (n.d.). Iliwekwa mnamo March 27, 2009.
  2. Heiliger Kastor von Karden. Kirchensite.de (n.d.). Iliwekwa mnamo March 27, 2009.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.