Masimino wa Trier
Mandhari
(Elekezwa kutoka Maksimino wa Trier)
Masimino wa Trier (Silly, leo nchini Ubelgiji, karne ya 3 - Poitiers, leo nchini Ufaransa, 12 Septemba 346/349) alikuwa askofu wa 6 wa Trier, leo nchini Ujerumani, aliyepinga sana Uario na kukaribisha Atanasi wa Aleksandria na maaskofu wengine wenye msimamo wake [1] hata serikali ikamfukuza jimboni[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Athanasius, Epistolae Aeg. 8.336f.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/55040
- ↑ Gregory of Tours, De gloria confessorum, xciii, published in Patrologia Latina lxii, cc, 898ff, noted by Warren Sanderson, "The Early Mediaeval Crypts of Saint Maximin at Trier", The Journal of the Society of Architectural Historians 24.4 (December 1965:03-310) p.305, note 11.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 184-185
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 154-155
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
. Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.- Bistum Trier Official website of the Diocese of Trier
- Ökumenisches Heiligenlexikon: "Maximin von Trier"
- (Ekkart Sauser) Schaff-Herzog, Biographisch-Bibliographische Kirchenlexikon: "Maximinus"
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |