Trier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Trier

Nembo
Trier is located in Ujerumani
Trier
Trier

Mahali pa mji wa Trier katika Ujerumani

Majiranukta: 49°46′0″N 6°39′0″E / 49.76667°N 6.65000°E / 49.76667; 6.65000
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine-Palatino
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 104,587
Tovuti:  www.trier.de
Trier

Trier (Kilatini: Augusta Treverorum) ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Mosel. Idadi ya wakazi wake ni takriban 104,587. Mji ulianzishwa 16 KK.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trier kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.