Nenda kwa yaliyomo

Rhine-Palatino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Rhine-Palatino katika Ujerumani
Bendera ya Rhine-Palatino

Rhine-Palatino (Kijerumani: Rheinland-Pfalz) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 4,0 kwenye eneo la 19,847 km². Mji mkuu ni Mainz. Waziri mkuu ni Maria Luise „Malu“ Dreyer (SPD).

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Rhine-Palatino imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini-Westfalia, Hesse, Baden-Württemberg na Saarland.

Miji mikubwa ni pamoja na Mainz, Ludwigshafen, Koblenz na Trier.

Rhine na Mosel ni mito muhimu zaidi.

Picha za Rhine-Palatino

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rhine-Palatino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Majimbo ya Ujerumani
Baden-Württemberg Bavaria (Bayern) Berlin Brandenburg Bremen Hamburg Hesse (Hessen) Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) Saksonia Chini (Niedersachsen) Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) Saar (Saarland) Saksonia (Sachsen) Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) Schleswig-Holstein Thuringia (Thüringen)