Catholic Encyclopedia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Catholic Encyclopedia, au Old Catholic Encyclopedia au Original Catholic Encyclopedia,[1] ni kamusi elezo ya Kiingereza kutoka Marekani ambayo inafafanua vidahizo kuhusu Kanisa Katoliki.

Gombo la kwanza lilitolewa mnamo Machi 1907. [2][3]. Toleo hili linapatikana katika intaneti kwa wasomaji wote.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. The Original Catholic Encyclopedia. Catholic Answers. Iliwekwa mnamo 2011-07-21.[dead link]
  2. Preface to the Catholic Encyclopedia
  3. Scan of "Preface". Catholic Answers. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-05-22. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2010.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: