Poitiers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu ya mji wa Poitiers
Poitiers

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Ufaransa" does not exist.Mahali pa mji wa Poitiers katika Ufaransa

Majiranukta: 46°34′55″N 0°20′10″E / 46.58194°N 0.33611°E / 46.58194; 0.33611
Nchi Ufaransa
Mkoa Poitou-Charentes
Wilaya Vienne
Idadi ya wakazi
 - 91,395
Tovuti: www.mairie-poitiers.fr
Blason ville fr Poitiers (Vienne).svg
Makanisa ya kale mjini Poitiers

Poitiers ni mji wa Ufaransa wa Kati kando ya mto Clain wenye wakazi 91 000. Ni mji wa kale unaotembelewa na watalii kwa sababu ya majengo mengi ya kale. Poitiers ndio mji mkuu katika mkoa wa Poitou-Charentes.

Poitiers ilianzishwa na Wagallia kabla ya uvamizi wa Julius Caesar.

Mmojawapo kati ya watu maarufu wa mji huo ni askofu wake Hilari wa Poitiers, anayeheshimiwa kama mtakatifu, babu wa Kanisa na mwalimu wa Kanisa.

Mwaka 732 mfalme wa Wafranki Karolo Nyundo alishinda jeshi la Waarabu katika mapigano ya Tours na Poitiers na kuzuia uenezi wa dola la Uislamu katika Ulaya ya Magharibi.

Wenyeji wa Poitiers[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Flag France template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Poitiers kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: