Paulo Liu Hanzuo
Mandhari

Paulo Liu Hanzuo (Syczuan, 1778 - Chengdu 13 Februari, 1818) alikuwa padri wa China aliyefia Ukristo kwa kunyongwa nchini mwao [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu mfiadini mwaka 2000.
Sikukuu yake na ya wenzake 119 huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- George G. Christian OP, Augustine Zhao Rong i in.: Martyrs of China. Nowy Jork: The Dominican Province of St. Joseph, 2005, s. 52.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |