Arubaini na nne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arubaini na nne au arobaini na nne ni namba inayoandikwa 44 kwa tarakimu za kawaida na XLIV kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 43 na kutangulia 45.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 11.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arubaini na nne kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.