26 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Februari ni siku ya hamsini na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 308 (309 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1802 - Victor Hugo, mwandishi kutoka Ufaransa
- 1903 - Giulio Natta, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1963
- 1916 - Jackie Gleason, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1932 - Johnny Cash, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1946 - Ahmed Zewail, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1999
- 1972 - Keith Ferguson, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1931 - Otto Wallach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1910
- 1971 - Theodor Svedberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1926
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Aleksanda wa Aleksandria, Faustiniani wa Bologna, Porfiri wa Gaza, Agrikola wa Nevers, Vikta mkaapweke, Andrea wa Firenze, Paula Montal n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |