1916
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| ►
◄◄ |
◄ |
1912 |
1913 |
1914 |
1915 |
1916
| 1917
| 1918
| 1919
| 1920
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1916 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 7 Januari - Fernando Sancho, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 10 Januari - Sune Bergström, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 12 Januari - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
- 26 Februari - Jackie Gleason, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Machi - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 29 Aprili - Lars Korvald, mwanasiasa kutoka Norwei
- 11 Mei - Camilo Jose Cela, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1989
- 4 Juni - Robert Furchgott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
- 8 Juni - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 11 Julai - Aleksander Prokhorov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
- 5 Agosti - Peter Viereck, mshairi kutoka Marekani
- 6 Agosti – Richard Hofstadter, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1956
- 18 Agosti - Don Keefer, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 25 Agosti - Frederick Robbins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
- 4 Oktoba - Vitali Ginzburg, mwanafizikia kutoka Urusi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2003
- 19 Oktoba - Jean Dausset, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 15 Desemba - Maurice Wilkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 6 Februari - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua
- 20 Februari - Klas Pontus Arnoldson, mwanasiasa Msweden, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908
- 16 Julai - Ilya Mechnikov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1908
- 23 Julai - William Ramsay, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904
- 4 Septemba - José Echegaray y Eizaguirre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904
- 15 Novemba - Henryk Sienkiewicz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1905