Nenda kwa yaliyomo

Fernando Sancho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fernando Sancho.

Fernando Sancho (7 Januari 1916 - 31 Julai 1990) alikuwa muigizaji wa filamu kutoka nchini Hispania. Sancho alizaliwa mjini Zaragoza, Aragón, Hispania, akaja kuiaga dunia mjini Madrid baada ya kufanyiwa upasuaji.

Fernando pia aliwahi kuonekana katika filamu za western, ambazo nyingi zilitaarishwa na mataarishaji Ignacio F. Iquino, vile vile kuna kipindi huonekana katika filamu alizocheza nyota Richard Harrison.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fernando Sancho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.