31 Julai
Mandhari
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Julai ni siku ya 212 ya mwaka (ya 213 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 153.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1143 - Nijo, mfalme mkuu wa Japani (1158-1165)
- 1527 - Kaisari Maximilian II wa Ujerumani
- 1880 - Munshi Premchand, mwandishi kutoka Uhindi
- 1918 - Paul Boyer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 1947 - Richard Griffiths, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1965 - Pat Finn, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1989 - Zelda Williams, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 450 - Mtakatifu Petro Krisologo, askofu Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1846 - Bernhard Heine, mgunduzi wa osteotomi kutoka Ujerumani
- 1860 - Mtakatifu Justino de Jacobis, C.M., askofu Mkatoliki kutoka Italia mmisionari nchini Ethiopia
- 1875 - Andrew Johnson, Rais wa Marekani (1865-1869)
- 1886 - Franz Liszt, mtunzi na mpiga kinanda kutoka Hungaria
- 1990 - Fernando Sancho, mwigizaji filamu kutoka Hispania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ignas wa Loyola, Kalimeri, Demokrito na wenzake, Fabius, Tertulino, Jermano wa Auxerre, Helena wa Uswidi, Petro Doan Cong Quy, Emanueli Le Van Phung, Justino de Jacobis n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |