4 Julai
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Julai ni siku ya 185 ya mwaka (ya 186 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 180.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1415 - Papa Gregori XII anajiuzulu ili kumaliza farakano la Kanisa la magharibi
- 1776 - Marekani inatangaza uhuru wake kutoka Uingereza
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1872 - Calvin Coolidge, Rais wa Marekani (1923-1929)
- 1915 - Susanne Wenger, msanii kutoka Austria na kuhani wa Wayoruba nchini Nigeria
- 1974 - Mick Wingert, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 966 - Papa Benedikto V
- 1336 - Mtakatifu Elizabeti wa Ureno, malkia Mfransisko kutoka Hispania
- 1826 - John Adams, Rais wa Marekani (1797-1801)
- 1826 - Thomas Jefferson, Rais wa Marekani (1801-1809)
- 1831 - James Monroe, Rais wa Marekani (1817-1825)
- 1891 - Hannibal Hamlin, Kaimu Rais wa Marekani (1861-1865)
- 1900 - Mtakatifu Sesidi Giacomantonio, padri Mfransisko kutoka Italia, mmisionari na mfiadini nchini China
- 2001 - Omar Ali Juma, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 2006 - Lars Korvald, mwanasiasa kutoka Norwei
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Elizabeti wa Ureno, Jokondiani, Lauriano wa Vatan, Andrea wa Krete, Ulderiki wa Augsburg, Sesidio Giacomantonio n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |