1929
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| ►
◄◄ |
◄ |
1925 |
1926 |
1927 |
1928 |
1929
| 1930
| 1931
| 1932
| 1933
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1929 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 11 Februari - Mkataba wa Lateran kati ya serikali ya Italia na Papa kuhusu mamlaka ya Mji wa Vatikani
- kuanzia Juni uchumi wa Marekani ulianza kuporomoka haraka na kusababisha Mdororo Mkuu katika uchumi za nchi zote duniani zilizofuata ubepari
- 29 Oktoba - "Jumanne Nyeusi" (Black Tuesday) ambako bei ya hisa za makampuni mengi zilishuka ghafla na mshtuko huu ulifuatwa na kufilisika kwa theluthi moja ya benki za Marekani
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 3 Januari - Sergio Leone, muongozaji wa filamu kutoka Italia
- 15 Januari - Martin Luther King, Jr., mchungaji na mwanaharakati kutoka Marekani
- 23 Januari - John Polanyi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 30 Januari - Isamu Akasaki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2013
- 31 Januari - Rudolf Moessbauer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961
- 7 Machi - Dan Jacobson, mwandishi wa Afrika Kusini
- 8 Machi - Hebe Camargo, mwimbaji wa Brazil
- 5 Aprili - Ivar Giaever, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973
- 4 Mei - Ronald Golias, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 6 Mei - Paul Lauterbur, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2003
- 3 Juni - Werner Arber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1978
- 1 Julai - Gerald Edelman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972
- 28 Julai - Shirley Ann Grau, mwandishi kutoka Marekani
- 14 Agosti - Matthias Joseph Isuja, askofu mstaafu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Tanzania
- 15 Septemba - Murray Gell-Mann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1969
- 13 Oktoba - Richard Howard, mshairi kutoka Marekani
- 31 Oktoba - Bud Spencer, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 2 Novemba - Richard Taylor, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990
- 7 Novemba - Eric Kandel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000
- 9 Novemba - Imre Kertesz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2002
- 6 Desemba - King Moody, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Desemba - Christopher Plummer, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 19 Desemba - Howard Sackler, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 4 Aprili - Karl Friedrich Benz, mhandisi Mjerumani na mtengenezaji motokaa
- 16 Juni - Vernon Louis Parrington, mwanahistoria kutoka Marekani
- 14 Septemba - Jesse Lynch Williams, mwandishi kutoka Marekani
- 23 Septemba - Richard Zsigmondy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1925
- 3 Oktoba - Gustav Stresemann, mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926