Papa Gregori XII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Gregori XII.

Papa Gregori XII (alifariki 18 Oktoba 1417) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Novemba 1406 hadi 4 Julai 1415. Mwaka wake wa kuzaliwa haujulikani (umekadiriwa kuwa kati ya 1326 na 1345).

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Angelo Correr.

Alimfuata Papa Inosenti VII. Alijiuzulu ili kumaliza Farakano la Kanisa la Magharibi akafuatwa na Papa Martino V.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.