Papa Pelagio II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Pelagius II)
Jump to navigation Jump to search
Papa Pelagio II.

Papa Pelagio II alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Novemba 579 hadi kifo chake tarehe 7 Februari 590.

Alimfuata Papa Benedikto I akafuatwa na Papa Gregori I.

Alikufa kwa tauni iliyofika mji wa Roma mwisho wa mwaka 589.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Duffy, Eamon. Saints and Sinners: A History of the Popes, Yale University Press, 2001. pp 62–63. ISBN 0-300-09165-6
  • Maxwell-Stuart, P. G. Chronicle of the Popes: The Reign-by-Reign Record of the Papacy from St. Peter to the Present, Thames & Hudson, 2002, p. 47. ISBN 0-500-01798-0.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pelagio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.