Papa Antero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Anterus)
Jump to navigation Jump to search
Papa Antero

Papa Antero alikuwa papa kuanzia 21 Novemba, 235 hadi kifo chake tarehe 3 Januari, 236.

Alimfuata Papa Ponsyano akafuatwa na Papa Fabiano.

Anaheshimiwa kama mtakatifu, ila hakuna hakika kama alifia dini.

Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Antero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.