Papa Urban III
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Urbano III)
Papa Urban III (alifariki 20 Oktoba 1187) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Novemba/1 Desemba 1185 hadi kifo chake[1]. Alitokea Milano, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Uberto Crivelli.
Alimfuata Papa Lucius III akafuatwa na Papa Gregori VIII.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |