Papa Boniface I
(Elekezwa kutoka Papa Bonifasi I)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Boniface I alikuwa Papa kuanzia tarehe 28 Desemba 418 hadi kifo chake tarehe 4 Septemba 422.
Alimfuata Papa Zosimus akafuatwa na Papa Selestino I.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 4 Septemba[1].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Catholic Encyclopedia, Volume II. New York 1907, Robert Appleton Company. * Liber Pontificalis, toleo la Duchesne (Paris, 1886), 1, pp. lxii, 227-229;
- Jaffe, Regesta Romanorum Pontificum (Leipzig, 1885), 1, 51-54;
- Louis-Sébastien Le Nain de Tillemont, Mémoires (Venezia, 1732), XII, 385-407, 666-670;
- Karl Joseph von Hefele, Conciliengeschichte and translation, §§ 120, 122;
- Duchesne, Fastes Episcopaux de l'Ancienne Gaul (Paris, 1894), I 84-109;
- Giovanni Sicari, «Reliquie Insigni e "Corpi Santi" a Roma», 1998.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |