Papa Gregori VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Gregori VI.

Papa Gregori VI alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Mei 1045 hadi 20 Desemba 1046.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Johannes Gratianus.

Alipata upapa kutoka kwa Papa Benedikto IX.

Baadaye alilazimishwa kujiuzulu, akafuatwa na Papa Klementi II.

Alifariki mwaka 1048.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.