Papa Vitalian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Vitalian.

Papa Vitalian alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Julai 657 hadi kifo chake tarehe 27 Januari 672[1]. Alitokea Segni, Lazio, Italia[2].

Jina la baba yake lilikuwa Anastasius.

Alimfuata Papa Eugenio I akafuatwa na Papa Adeodato II.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Kanisa Katoliki linaadhimisha sikukuu yake tarehe 27 Januari[3], lakini Waorthodoksi tarehe 23 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Vitalian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.