Papa Donus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Donus.

Papa Donus alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Novemba 676 hadi kifo chake tarehe 11 Aprili 678[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina la baba yake lilikuwa Mauricius.

Alimfuata Papa Adeodato II akafuatwa na Papa Agatho.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Donus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.