11 Aprili
Mandhari
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Aprili ni siku ya 101 ya mwaka (ya 102 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 264.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 146 - Septimius Severus, Kaisari wa Dola la Roma (193-211)
- 1934 - Mark Strand, mshairi kutoka Marekani
- 1964 - Reggie Rockstone, mwanamuziki kutoka Ghana
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 678 - Papa Donus
- 1903 - Mtakatifu Gemma Galgani, bikira nchini Italia
- 1993 - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 2013 - Jonathan Winters, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Stanislaus, Antipa wa Pergamo, Filipo wa Gortina, Domnio, Barsanufi wa Gaza, Isaka wa Monteluco, Gemma Galgani n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |