4 Aprili
Jump to navigation
Jump to search
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Aprili ni siku ya 94 ya mwaka (ya 95 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 271.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 186 - Caracalla, Kaisari wa Dola la Roma
- 1896 - Robert Sherwood, mwandishi Mmarekani
- 1908 - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda
- 1921 - Peter Burton, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1939 - Hugh Masekela, mwanamuziki wa Jazz kutoka Afrika Kusini
- 1960 - Hugo Weaving, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 1976 - Saida Karoli, mwimbaji kutoka Tanzania
- 1984 - Kristen Hager, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1987 - Macdonald Mariga, mchezaji mpira kutoka Kenya
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 397 - Mtakatifu Ambrosi, askofu Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa nchini Italia
- 635 - Mtakatifu Isidori wa Sevilia, askofu na mwalimu wa Kanisa nchini Hispania
- 896 - Papa Formosus
- 1292 - Papa Nikolasi IV
- 1589 - Mtakatifu Benedikto Mwafrika, mtawa Mwafrika wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1841 - William Henry Harrison, Rais wa Marekani (1841)
- 1929 - Karl Friedrich Benz, mhandisi Mjerumani na mtengenezaji motokaa
- 1932 - Wilhelm Ostwald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909
- 1968 - Martin Luther King, Jr., mchungaji na mwanaharakati kutoka Marekani, aliuawa kwa kupigwa risasi na adui wa imani yake
- 2013 - Roger Ebert, mwandishi wa habari kutoka Marekani
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Isidori wa Sevilia, Agatopodo na Teodulo, Plato wa Konstantinopoli, Benedikto Mwafrika, Fransisko wa Fatima, Gaetano Catanoso n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |