Agatopodo na Theodulo
Mandhari
Agatopodo na Theodulo (walifariki Thesalonike, Ugiriki, 302 hivi) walikuwa Wakristo ambao, kutokana na imani yao, waliuawa kwa kutoswa baharini wamefungiwa jiwe kubwa shingoni wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian wa dola la Roma[1].
Agatopodo alikuwa shemasi mzee[2] na Theodulo msomaji kijana.
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao ni tarehe 4 Aprili[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |