16 Aprili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 16 Aprili ni siku ya 106 ya mwaka (ya 107 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 259.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Leonida, Karisa na wenzao, Optati, Luperki na wenzao, Engrasya, Kayo na Kremensi, Turibi wa Astorga, Frutuoso wa Braga, Magnus wa Orkney, Drogo, Kontardo wa Este, Benedikto Yosefu Labre, Bernadeta Soubirous n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 16 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.