Magnus wa Orkney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Magnus wa Orkney (kwa Kinorwe: Magnus Erlendsson; 108016 Aprili 1115) alikuwa mtemi wa visiwa vya Orkney, Uskoti, kuanzia mwaka 1106 hadi kifodini chake.

Baada ya kuongokea Ukristo, alitetea wananchi dhidi ya maonevu ya Wanorwe wenzake na kwa ajili hiyo alikataliwa na mfalme wa Norwei.

Hatimaye aliuawa vibaya akiwa njiani kwenda kwa amani kujadili na ndugu yake kuhusu umiliki wa visiwa hivyo.

Mwaka 1136 alitangazwa na askofu mkuu Wiliamu wa Orkney kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Aprili[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.