Tracy K. Smith
Mandhari
Tracy K. Smith (amezaliwa 16 Aprili 1972) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2012 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Vitabu vyake
[hariri | hariri chanzo]- "The Body's Question", mashairi (2003)
- "Duende", mashairi (2007)
- "Life on Mars", mashairi (2011)
- "Ordinary Light", wasifu (2015)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tracy K. Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |