Selena
Jump to navigation
Jump to search
Selena | |
---|---|
![]() Selena
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Selena Quintanilla-Perez |
Amezaliwa | 16 Aprili 1971 Lake Jackson, Texas |
Asili yake | US |
Aina ya muziki | Pop, Latin pop, R&B |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1984-1995 |
Studio | EMI Records, EMI Latin |
Tovuti | Q-Productions |
Selena, wake jina la kuzaliwa Selena Quintanilla (amezaliwa tar. 16 Aprili 1971, mjini Lake Jackson. alikufa, 31 Machi 1995, mjini Corpus Christi, Texas) ni mwimbaji wa muziki aina ya Tejanopop. Alikuwa mara nyingi huitwa "Malkia wa Tejano muziki".
Diskografia[hariri | hariri chanzo]
Studio Albamu kwa pre-EMI[hariri | hariri chanzo]
- 1984: Mis Primeras Grabaciones
- 1985: The New Girl in Town
- 1986: Alpha
- 1987: Munequito de Trapo
- 1987: And the Winner Is...
- 1988: Preciosa
- 1988: Dulce Amor
Studio Albamu kwa EMI Latin[hariri | hariri chanzo]
- 1989: Selena
- 1990: Ven Conmigo
- 1992: Entre a Mi Mundo
- 1993: Selena Live!
- 1994: Amor Prohibido
- 1995: Dreaming of You
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Selena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |