Mtunzi wa nyimbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mtunzi wa nyimbo ni mtu anayebuni nyimbo. Mtunzi wa nyimbo kwa ujumla hutunga nyimbo za pop, kuliko nyimbo za kawaida au muziki wa classic. Watunzi waliowengi pia ni waimbaji, na wanazifanyia kazi nyimbo zao na kutunga pia. Kuna watunzi wengine nyimbo huimbwa na waimbaji wengine na sio wao wenyewe.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Watunzi mashughuli duniani[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtunzi wa nyimbo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.