Bob Dylan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bob Dylan jukwaani, 1996

Bob Dylan ni mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Robert Allen Zimmerman. Alizaliwa 24 Mei 1941 huko Duluth, Minnesota. Alikuwa anapiga muziki wa Folk na Rock.

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Dylan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.