Tuzo ya Pulitzer ya Muziki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo ya Pulitzer ya Muziki ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ilitolewa kuanzia 1943 kwa tungo ya muziki iliyochezwa au kurekodiwa mara ya kwanza katika mwaka uliopita; pia kulikuwa na tuzo maalumu.

Katika miaka 71 hadi 2013, Tuzo ya Muziki ilitolewa mara 67; hakuwa na tuzo katika miaka 1953, 1964, 1965 na 1981. Kulikuwa na watungaji mbalimbali waliotuzwa mara mbili:

Washindi[hariri | hariri chanzo]

Tuzo Maalumu[hariri | hariri chanzo]

1974: Roger Sessions (1896–1985); 1976: Scott Joplin (1868–1917, baada ya kifo chake); 1982: Milton Babbitt (1916–2011); 1985: William Schuman (1910–1992); 1998: George Gershwin (1898–1937, baada ya kifo chake); 1999: Duke Ellington (1899–1974, baada ya kifo chake); 2006: Thelonious Monk (1917–1982, baada ya kifo chake); 2007: John Coltrane (1926–1967, baada ya kifo chake); 2008: Bob Dylan (born 1941); 2010: Hank Williams (1923–1953, baada ya kifo chake).