Nenda kwa yaliyomo

Duke Ellington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Duke Ellington

Duke Ellington (29 Aprili 189924 Mei 1974) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Edward Kennedy Ellington. Alikuwa anapiga muziki wa Jazz. Mwaka wa 1999 alituzwa tuzo maalumu ya Tuzo ya Pulitzer ya Muziki kwa kazi ya maisha yake, yaani baada ya kifo chake.

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Duke Ellington kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.